Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1565714766704.jpeg
 
"Hakimu tangu nimefika hapa wanahabari wamekazana kunipiga picha, mpaka naingia humu ndani wananipiga picha tu bila kujua kwenye akili yangu nawaza nini, kwa sasa kichwa changu kimechanganyikiwa sana, hata hii kesi yenyewe sielewi itakuwaje. "Nimekaa nitulize akili yangu, wanahabari wananisogelea sogelea kunipiga picha, wananivua hadi kofia ili wanipige picha, mimi sijapenda, sasa nitakuja kuishangaza Mahakama, nitafanya jambo ambalo si la kawaida." - Mtuhumiwa Hamis Luwongo, anayetuhumiwa kwa mauaji ya mkewe, Naomi Marijani.
 
Baada ya kudumu Kwa miezi 7 tu, ndoa ya Miley Cyrus(26) na muigizaji Liam Hemsworth(29) yatatuka ! . . Miley ambaye ni star maarufu wa muziki amesema ndoa hiyo alikuwa haielewielewi na pia kimapenzi yeye bado anavutiwa na wanawake wenzie hivyo hana sifa za kuwa mke wa mtu Kwa tabia zilizozoeleka ! . . Kwa upande wa Liam Hemsworth ambaye ndie alilazimisha wafunge ndoa, kwasasa anaonekana bado hayupo sawa baada ya kupasukiana Kwa ndoa hiyo . . Mastaa hao walianza kutoka pamoja tangu 2009 kisha wakawa wanarudiana na kumwagana
 
Back
Top Bottom