SITAKI KUKUMBUKA Na. Robert Heriel. Mwanzoni kabisa nilikuwa naamini kuwa Mimi ni moja ya watu wenye ujasiri. Kijana nisiye na woga popote nilipo. Hivyo ndivyo nilikuwa naamini lakini kumbe bhana nilikuwa najiongopea. Kumbe mimi ni jasiri kwa mambo mengi lakini sio mambo yote. Kumbe mimi sio...