Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Usiache Plagi Ikiwa Imechomekwa kwenye Umeme.
Umeme hutumika wakati vyombo vya umeme vimeunganishwa na kuwashwa kutoka kwenye soketi. Baadhi ya vifaa mfano pasi, huhitaji kuwa vimechomekwa kwenye umeme wakati wa matumizi yake. Wakati mwingi, vifaa kama hivi vikiachwa katika umeme, huweza kusababia mtitririko wa umeme kuendelea kuwepo hata kama vifaa hivi vimezimwa. Hakikisha unachomoa kabisa plagi kutoka kwenye soketia. Hakikisha pia unazima umeme kwenye kila chumba ambacho hakitumiki kwa wakati huo. Watu wengi husahau kuzima feni majumbani au kuacha vifaa kama hita, taa, n.k vikiwa katika soketi za umeme. Ni muhimu kuwa mwangalifu na kufuatilia vitu hivi.