Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1561590630233.jpeg
 
We unao wengi tu... niuzie mmoja basi
Hii ni zamani huko vijijini. Hata gharama ya kuwatunza hakuna. Wanakula mifupa na mabaki ya vyakula vya wanaume huko. Au kama wameua swala wawili mmoja unawatengea wao. Hawa wenu wa mjini lazima uwafanyie shopping Mlimani City na wakiumwa unawapeleka kwa daktari mi siwawezi aisee [emoji16][emoji16]
 
The difference with me is that I have played in different clubs and I have also won the Champions League with different clubs.

"I have been the top scorer in the Champions League six times in a row. There are not many players who have five Champions titles and that's why I think I identify with this competition, ”

Cristiano also praised the Barça figure. "Messi is an excellent player who will be remembered not only for the Ballon d'Or, but for always being up, year after year, like me."
 
Eid al-Fitr Inaashiria Mwisho wa Ramadhan



Eid al-Fitr hufanyika siku ya kwanza ya Shawwal, mwezi wa Kiislamu unaokuja moja kwa moja baada ya Ramadan. Wakati wa Ramadhani, Waislamu wanalazimika kuacha kula, kunywa na shughuli nyingine za dhambi. Ni lazima kuzingatia hili ili kupata wakati wa kutafakari na kuabudu. Ukijulikana kama Mwezi Mtakatifu wa Kiislam, Ramadhan inaashiria wakati ambapo Quran takatifu ilifunuliwa kwa nabii Muhammad (saw).
[emoji106][emoji106]
 
Siku hizi matumizi mengi ya nyumbani yanahusika sana na umeme. Taa, feni, mashine za kufulia, viyoyozi, friji, majiko ya umeme vyote vinafanya maisha kuwa rahisi zaidi. Lakini matumizi makubwa ya vifaa hivyo vinavyotumia nishati ya umeme vinakuja na gharama kubwa. Kila mtumiaji wa umeme angependa kujua ni kifaa gani kinatumia umeme sana nyumbani, ili aweze kujua ni njia gani mbadala anaweza kutumia ili kupunguza gharama.
 
Kila unapopunguza matumizi ya nishati ya umeme nyumbani, unapunguza gharama na unaweza kutunza fedha kwa matumizi mengine. Matumizi madogo ya umeme pia ni njia ya kutunza mazingira. Kuna njia nyingi za kupunguza matumizi ya umeme nyumbani na kufurahia zaidi maisha na kupunguza gharama.
 
Tumia Vifaa Vinavyotumia Umeme Mdogo



Kuna vifaa vingi vya umeme vilivyo katika kiwango na ubora mzuri vinavyotumia umeme mdogo. Punguza gharama za matumizi ya umeme kwa kuchagua vifaa vinavyotumia umeme mdogo. Kwa teknolojia inapoelekea, vifaa vingi kama taa, feni, friji n.k. vinatengenezwa kwa mfumo unaowezesha kutumia umeme mdogo hivyo kuokoa gharama kubwa. Ikiwa unapendelea kutumia majiko na oven ya umeme, unaweza kuchagua kama Toster zenye Oven ambazo zinasifika kwa uwezo mzuri wa kupikia lakini kwa matumizi madogo ya umeme.Ingia Zoom Tanzania ujionee zaidi bidhaa za umeme zenye matumizi madogo ya umeme.
 
Back
Top Bottom