Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Andaa Michezo ya Watoto
Pasaka na familia haitakua ya furaha kama watoto hawapata mahali pa kucheza. . Unaweza kupata vifaa vya michezo ya watoto kutoka ZoomTanzania , mipira ya kuchezea, nk. Unaweza pia kuwafundisha watoto michezo kama ngonjera na ngoma, michezo ya kitamaduni nk. Pia, unaweza kutambulisha michezo mipya ya watoto, mfano tamaduni ya kuficha mayai yenye zawadi katika moja ya sehemu ya nyumba na kuwaacha watafute (Easter Egg Hunt). Hii ni nafasi ya kufurahi na kujifunza mambo mapya wakati wa Pasaka.