capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hivi Burigi ipo Mwanza eeeh?Mwanza: Hakuna cha zaidi ya wasiopenda 'ugonjwa wa Taifa'. Panaitwa Rocky City kwasababu, nusu ya ile milima pisi wameibeba nyuma.
Walimaanisha nn?Mtwara: Yes, kama Mwanza upande wa milima. Kuna msemo wa Wahenga "uzuri wa Msichana sio sura bali ni ndani ya kuta nne". Walimaanisha
Salama bro, umeamkaje?Habari zenu wakuu
Salaam mkuu.Salam kwenu wote
Salama kabisa..kwako je..Salaam mkuu.
Hapana Bro ipo Jiji la Chato!Hivi Burigi ipo Mwanza eeeh?
Wataalam wa kiswahili watusaidie hapa. Nimefanya C&PWalimaanisha nn?
Morning bro.
hahahahaha, mpendwa unajua kuruka vichwa eeehπππInasikitisha sana.Hivi alishindwa nini hapo kumpiga vichwa viwili mdomoni yaani mimi kwa hasira zangu hizi kazi ingeishia siku hiyo.
Ahaa, poa.Hapana Bro ipo Jiji la Chato!
Morning to you, we are all fine.Wataalamu wa kiswahili watusaidie hapa. Nimefanya C&P
Morning. How is everything/one?
kwema pia, namshukuru Mungu.Salama kabisa..kwako je..
ππππ bro kwema huko?πππ