Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

09c4a140-fa0d-4898-b7f0-8ba24a6e2049.jpeg
 
Kwa siku kadhaa sasa uzi unasuasua...na likes zinasuasua pia...ila tupo...

Nilipita mitaa fulani hivi nikakuta pia unaitwa King nikashangaa sana bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Mambo yatarudi sawa tu ni swala la muda bro pia ni jambo jema kuona bado mnasukuma gurudumu la burudani humu ndani.....

😂😂😂😂 Ai so yu zea

Daah!
 
Hasa za kipindi hiki. Kila mtu ana mapembe. Kama mimi na utaalamu wangu sikubali kudhalilishwa na wapuuzi hawa aisee liwalo na liwe.
Kabisa kuna wakati inabidi tu uwe ngangari maana watakupelekesha sana. Hapo wenyewe unakuta hawana utaalam wowote hata hawajachuja maneno waliyoambiwa
 
Ndoa ya Rooney mashakani kisa pombe, mkewe atimka Marekani kuepuka aibu . . . . . . . Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United, Wayne Rooney amelazimika kuacha kabisa kunywa pombe ili kuokoa ndoa yake na mkewe Coleen ambaye amezaa nae watoto wa nne. The Sun imeripoti kuwa Rooney amekuwa akiishi Marekani na familia yake tangu mwaka uliopita, lakini tayari mkewe ameondoka huko na kurudi Uingereza kutokana na vituko vya ulevi vinavyoendelea. . . . . Wakati uhusiano wake na mkewe umekuwa wa mashaka kutokana na matukio mbali mbali ya ulevi wa Rooney. Mapema mwaka huu alikamatwa na polisi kwa kulewa kupita kiasi akiwa uwanja wa ndege Marekani. . . . . . Kwa mujibu wa jarida la Mirror, Rooney anatarajiwa kurudi Uingereza mwezi Oktoba na yupo tayari kujiunga na Derby ya nchini humo ili kutumia fursa ya kuwa karibu na mkewe ambapo pia atakutana na mtu wa ushauri nasaha ili kurejesha amani katika ndoa yake. . . . . . Inasemekana maamuzi ya Rooney kurudi Uingereza yatamgharimu mamilioni ya pesa. Lakini mkewe alitaka Rooney ampe kipaumbele yeye Coleen na watoto. Hivyo Rooney ameamua kufanyia kazi hilo “si tatizo kupoteza pesa kwani ni thamani zaidi kumfanya Coleen awe na furaha
 
Tanzania has an abundance of sunlight, wild animals, and local bars. There are hundreds of bars scattered across cities like Dar es Salaam, Moshi, and Mwanza. And they always seem to be packed to capacity with people watching football games, listening to music, or just having conversations with friends.
 
Tanzania Breweries Limited, responsible for producing most of Tanzania’s local beers like Kilimanjaro Lager, Safari Lager, and Castle Lite, is one of the biggest taxpayers in the country. Even the country’s current president’s middle name is ‘Pombe’, which literally means alcohol in Kiswahili.
 
However, Tanzania is not the only country in Africa with a population that loves to drink. In 2014, The World Health Organization (WHO) compiled the Global Status Report on Alcohol and Health, which shows the average amount of alcohol (pure ethyl alcohol) consumed by people who are 15 years and older in different countries around the world.
 
So, given the findings of the report, how does Tanzania compare to other African countries when it comes to the consumption of beer, wine, and other alcoholic drinks?

Well, you are about to find out.

*The countries are listed from least to greatest alcohol consumers.
 
10. Tanzania: 7.7 litres of alcohol per capita per year

Alcohol breakdown:

87% from local brews

11% is from beer

2% is from spirits

Less than 1% of wine

While TBL is one of the biggest corporations in the country, only about 11% of alcohol consumption comes from beer. Whereas 87% of alcohol consumption is from local alcohol brews (moonshine) like Mbege, Pingu, Boha, Gongo, Lubisi, and Mnazi, that are specific to different regions in Tanzania.
 
9. Botswana: 8.4 litres of alcohol per capita per year

Alcohol breakdown:

56% is from beer

12% is from wine

11% from spirits

21% is from other local brews

Unlike Tanzania, the majority of the alcohol consumed in Botswana is beer. The national beer, St. Louis, is incredibly cheap and highly consumed, though it’s pretty light and has a low alcohol percentage of 3.5% and 4.7%.
 
Back
Top Bottom