myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wagonjwa Mungu awaponye
Na kwako pia mkuuSalamu kwenu
Salam kwako piaSalamu kwenu
Upendo uwe nasi daimaUpendo mwingi kwenu
Tena timu imekamilika kabisa. Familia kamili...Kwema mpendwa,Nimeipenda avatar yako hongera una timu ya mpira.
Nasubiria HELSB watoe msamaha. Itakuwa poa sana !!!Bank ya likes imetoa msamaha wa madeni kwa wadaiwa sugu
Kwa siku kadhaa sasa uzi unasuasua...na likes zinasuasua pia...ila tupo...Uzi haujatembea sana