Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190814-WA0016.jpeg
 
Jamaa anarusha Makonde mpaka raha mixer na upper cut, Mchezo huu mtamu sana Tatizo Tu unaweza sababisha uhai wa mtu kupotea
The Sweet Science. Ndiyo mchezo pekee ninaoukubali kabisa kabisa kwa sababu hauna mbwembwe na unamwonyesha Homo Sapiens katika uhalisia wake. Ukileta mbwembwe kama huyu Uzzy wa Pakistani [emoji116][emoji116][emoji116]unaweza kujikuta katika matatizo makubwa...
QlAwObw.gif
 
View attachment 1181433

Huyo Bondia ametumia nguvu nyingi kwenye tambo na mbwembwe hatimaye kaangukia pua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alikuwaga na mbwembwe sana na kudharau wapinzani wake. Alipigwa mpaka akalazimika kustaafu angali kijana kama sikosei...Na vitu vingi katika maisha viko hivyo. Havitaki mbwembwe...
 
Back
Top Bottom