capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Umenikumbusha National Panasonic ya Mzee Igobo pale kijijini. Habari zote za muhimu tulikuwa tunazipata hapo. Saa kumi na mbili asubuhi utaisikia tu taarifa ya habari...Haya ndio maisha yenyewe View attachment 1181389
Asante NumbisaTulishaongea weee tukaonekana washamba. Pole kwa aibu uliyoipata hawachi
Usijali mpendwa tuendelee na picha.Pole mpendwa Hawachi....
Ni misambwanda yangu ilikusababishia aibu? Nitaacha sasa...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Muongeleshanage lugha ya mama japo mara moja moja bro...
(Tayari nipo ndani ya treni nshadandia hivyo....Ndukiiii [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099])
Mungu ni mwema, tupo vizuri...Kwema Bro vipi habari, hawajambo wanafamilia ??? Hapo nyumbani
Mungu ni mwema, tupo vizuri...
Maisha yanaendelea
Sasa tunaishia kufa kwa mawazo na mambo mazito yanayo tujaa mavifuani mwetu. Hatuna pa kupumulia, kila mtu ndani mwake kama sio Bar au kwa Mwamposa na timu yake...Umenikumbusha National Panasonic ya Mzee Igobo pale kijijini. Habari zote za muhimu tulikuwa tunazipata hapo. Saa kumi na mbili asubuhi utaisikia tu taarifa ya habari...
Those good ole days indeed wallahi..