Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,611
Jamani mnazidisha sasa. Hawa si wako uchi kabisa hawa? What is the point?
Pole mpendwa Hawachi....Huu uzi huwezi kuwa kwenye mchanganyiko wa watu wengi ukaufungua juzi ulinisababishia aibu sana inabidi uvizie upo sehemu gani peke yako [emoji852][emoji852]
Tulishaongea weee tukaonekana washamba. Pole kwa aibu uliyoipata hawachiHuu uzi huwezi kuwa kwenye mchanganyiko wa watu wengi ukaufungua juzi ulinisababishia aibu sana inabidi uvizie upo sehemu gani peke yako ☹☹
Kwema kijana?STAY TRUE TO YOURSELF