Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

(B).kiini Cha Muse __Huzalisha mafuta kwa awamu ya pili, mafuta haya yanaitwa #mafuta_ya_mise tofauti na Mawese,
Mafuta ya mise Hutumika kupikia pia, kutengeneza madawa, mafuta ya kujipaka au mafuta ya nywele na kutengeneza sabuni maarufu Kama sabuni_za_kigoma(rangi_mbili)
 
Unatibu vipi ukavu wa nyayo? fuata njia moja miongoni mwa zilizoorodheshwa hapo chini au zote kadri uwezavyo?

1.Osha miguu yako kwa maji safi na sabuni kisha ikaushe, hakikisha unapaka nyayo zako mafuta au lotion zenye moinsture.Usipake lotion zenye kemikali au alcohol huzidisha ukavu wa miguu.Paka hata mafuta ya watoto ambayo hayana kabisa kemikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…