Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama unamjua huyu cheupe basi mbingu utaisikia kwenye tivii tu [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Magoti yamejaa makovu kwa kuanguka, kucha za mguuni sina hata moja kisa kujikwaa wakati nakimbilia ubuyu...uzee wangu nimeuchezea kamariii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wapenda ubuyu kumbe na wewe? [emoji16][emoji16]
Magoti yamejaa makovu kwa kuanguka, kucha za mguuni sina hata moja kisa kujikwaa wakati nakimbilia ubuyu...uzee wangu nimeuchezea kamariii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa... Mzee una balaa wewe! Nimechungulia humo anasema vyeti vyake vinamruhusu kupata kazi nje ya nchi, sijui ana vyeti gani? Kwani nasikia huko nje ya nchi watu wana mivyeti ya kufa mtu lakini wanaendesha UBER! [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waswahili ukute tulikuwa na mungu wa peke yetu na amesha kufa... Tumebaki na Mungu ambaye hatuja mzoea. Hatujiamini kwa lolote
Bro,
Unatumia haya meno pia??😀😀😀
Kagoma kutoa story nzimaYamemkuta yepi tena? [emoji16]
Ngoja aje atuambie kama amefikia huko [emoji16][emoji16]Bro wetu amekuwa Lil Wayne? [emoji16][emoji16]
Kwema sana bro, vipi za siku mbili tatu?😁😁😁😁 bro kwema huko?
Aisee! Amekua sasa 😁
Ngoja aje atuambie kama amefikia huko [emoji16][emoji16]