Nitume niende ankooAnko kapo kule MMU kwa mdada yaliyomkuta mazito
ankoo hapa![]()
Yamenikuta mwenzenu.....
Hakuna tusikofika kwenye hii dunia. Seheme pekee ni kuzimu. Nilikuambia Achana na Mume wa Dada yangu ukajitia mtoto wa mjini. Ati mtoto kutoka Kanda ya ziwa ngoja tukuonyeshe watoto kutoka baharini tukoje. Kenge wewe. Nakuhakikishia Hutatoka katika mipaka yetu. Ukifanya mambo yako ulidhani...www.jamiiforums.com