Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hivyo, hakikisha mapema sana, kabla msimu wa mvua haujafika unapeleka gari lako kukaguliwa hasa sehemu hizi zinazohitaji kufunikwa na mipira bado ziko imara. Vinginevyo, gharama za kurekebisha zinakuwa kubwa zaidi wakati wa kubadilisha vifaa vya chuma badala ya mipira midogo midogo.