Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lazima umsahaulishe kitu bhana..[emoji2089][emoji2089]
Zamani huko Koromije ilikuwa lazima umsahaulishe/akupe kitu mf. shanga, kipande cha kanga au kitambaa cha kichwani...Siku akija "kukikomboa" unamsahaulisha vitu vingine tena...msahaulishano ulikuwa hauishi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Duuu, pole sana.
Ulikuaibisha vipi mkuu, nipe uzoefu
Kama hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
tapatalk_1565954009636.jpeg
 
Back
Top Bottom