gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,383
- 7,227
WordLengo letu sio K jamani, tupo kufurahishana bila kukwazana, hatuna mshindi hapa. Mimi nimefukuzwa bar na mameneja kwa ajili ya uzi huu, naagiza castle lite masaa mawili haishi, nipo busy na like tu. Saa hivi wakiniona wanakusanya viti vya wazi wanapeleka store.
Kama akina nani?Yani nipo jf mda mrefu ila now kunawatu nimewajua kupitia thread hii
Watu wako speed hatar eek, ukitoka kidogo tu unaachwaNimekuta 100k cyo masihara
Kweli mmefanya poa
Kichwa Kichafuuuuuuuuuuuuuuu !!!!So sweet of you...[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Sijaelewa numbisa
Wewe hapo piaKama akina nani?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kichwa Kichafuuuuuuuuuuuuuuu !!!!
Ya nini??Sabuni
Ushindwe na ulegee mkuu!
Tsup??OH IM A MESS RYT NOW[emoji445]