cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
And that we are all doomed
Lengo letu sio K jamani, tupo kufurahishana bila kukwazana, hatuna mshindi hapa. Mimi nimefukuzwa bar na mameneja kwa ajili ya uzi huu, naagiza castle lite masaa mawili haishi, nipo busy na like tu. Saa hivi wakiniona wanakusanya viti vya wazi wanapeleka store.Utamu wa uzi usha potea kwangu. Mtu anawazaje hivyo. Ameshinda marangapi na hatujasema kitu.
VP mzima kwanzaIndeed
Nenda mwaya kampunguze machunguBaadayeni naenda kumtafuta bae [emoji4]
DoohLengo letu sio K jamani, tupo kufurahishana bila kukwazana, hatuna mshindi hapa. Mimi nimefukuzwa bar na mameneja kwa ajili ya uzi huu, naagiza castle lite masaa mawili haishi, nipo busy na like tu. Saa hivi wakiniona wanakusanya viti vya wazi wanapeleka store.
carbamazepine always i believe in you mom!Mhhhh!!!! carba, hebu muelewe huyu mzee, hii lugha iliyo tumika ya kukulaumu na kukusifia hakika kuna Ming'ombe imeandaliwa... [emoji230] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji243] [emoji243] [emoji233] kamata fursa carba-ma-zepine
[emoji23] [emoji23]Mtu unanifata pm eti unaniuliza kwanini upost kwa kingereza
Good. Una roho nzuri sana sammyluv. Hivi hako kabandiko ka njano usoni hauwezi kukatoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] am in love...Hapa hakuna hata mmoja anayemfahamu mwenzie hasira za nini kwani hiyo 100k ni cash?Tusafishe nyoyo vifua vyetu visibebe ghadhabu nisamehe kama mie ndo ntakua chanzo
[emoji17] [emoji17]It is always possible to fall madly deeply in love even wen that person you love is dying.
OkayNiwe kee likes
HahahahaLengo letu sio K jamani, tupo kufurahishana bila kukwazana, hatuna mshindi hapa. Mimi nimefukuzwa bar na mameneja kwa ajili ya uzi huu, naagiza castle lite masaa mawili haishi, nipo busy na like tu. Saa hivi wakiniona wanakusanya viti vya wazi wanapeleka store.