Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Karibu tuendelee na likesWakuu mmeshafika mia?
Karibu tuendelee na likesWakuu mmeshafika mia?
Saaaayy waaaaat???Your natural hair, your soft skin, your big as**
[emoji482] [emoji482]Nimerudi asali yangu.
Nilikuwa Nimemiss tabasamu lako, kicheko chako na kidompoz yako yaani sichoki kukutazama mpenz.
Sijui mie[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
carbamazepine leta glass baridi tugonge cheers tena tule likes
Mkuu tutakuwa tumepoteza mtu muhimu sana issue gani inaendelea mzazi maana sikuwepo humuInaonyesha kupata 100K imekuwa issue sana. I'm O. U. T kwenye huu uzi. Tutakutana nyuzi nyingine.
Mapenzi ni upofuSubiri akija. Cha moto utakiona! Ajabu toto zinampenda na kumpapatikia balaa. Mpaka Carpa akanasa. Imagine. Carpa? Na u-collectiveness na u-jiniazi wote ule akanasa kwa Kichwa Kichafu. Real?
We ndo rapa wangu???like father like son
![]()
sijajua unachomaanishaWe ndo rapa wangu???
Utamu wa uzi usha potea kwangu. Mtu anawazaje hivyo. Ameshinda marangapi na hatujasema kitu.Mkuu tutakuwa tumepoteza mtu muhimu sana issue gani inaendelea mzazi maana sikuwepo humu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jaman mumpuuze huyu mzee anajaribu kutoa vichekesho vyake
Hapa hakuna hata mmoja anayemfahamu mwenzie hasira za nini kwani hiyo 100k ni cash?Tusafishe nyoyo vifua vyetu visibebe ghadhabu nisamehe kama mie ndo ntakua chanzoInaonyesha kupata 100K imekuwa issue sana. I'm O. U. T kwenye huu uzi. Tutakutana nyuzi nyingine.
MistariHellow sweetie...heart...
Ur ice cream njoo[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Haaah uniq....why!!??Inaonyesha kupata 100K imekuwa issue sana. I'm O. U. T kwenye huu uzi. Tutakutana nyuzi nyingine.
Kulikoni tena coco?what happened?Sasa kitu kimoja
Mshindi wa 100k ni sammyluv
Mtu unawezaje kudelete comments ili upate ushindi wa kuwa namba 100,000 baada
Sema tu sikuchukua screenshot, as nilikuwa namba ...2 na nilimuona namba ...1 na namba 100000. Ambaye ni sammyluv
Sasa haya ya kuleta upupwu baada kwa kweli jione kama haufai kuwemo humu, kufikiri watu hawana akili. Mii nikiamha kufuta zangu na yule akaamua na yule si kila mtu atakuwa wa post ya 100,000
Hii ni gemu
Na sio kuleta wivu
Huko maishani mnaishije, duh jisikitikieni kabisaaaaaaaaaaaa
Bali kama ni mods iweje leo ndio waondoe comments na sio siku za test eeeeh... na namini hakuna anayepost kibaya humu kwa uzoefu wangu cha kuondolewa.
Ni hayo tu