Sijawaona hao watu kwenye mbio za 100Kmidundo ya ISIS na COCOCHANEL
Vimekutokea wewe au mwingine? I am here if you wanna talk!Bro hivi vitu ninavyo shusha believe Me vinaumiza...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you got mePhilosophical as usual...
Nilidhani Sammyluv ndiye aliweka ile link. Au hii ni id yako nyingine (Sammyluv?)hahahahahaaaa nikipigwa ban siku moja tu nikirudi utakuwa na like 40000
Makapuku naona wameanza kuogopa. Mwendo niwa 280K/HDuh! 100 k ndani ya mwez?
Wahuni hao usiwamind [emoji122] [emoji120]Sasa kitu kimoja
Mshindi wa 100k ni sammyluv
Mtu unawezaje kudelete comments ili upate ushindi wa kuwa namba 100,000 baada
Sema tu sikuchukua screenshot, as nilikuwa namba ...2 na nilimuona namba ...1 na namba 100000. Ambaye ni sammyluv
Sasa haya ya kuleta upupwu baada kwa kweli jione kama haufai kuwemo humu, kufikiri watu hawana akili. Mii nikiamha kufuta zangu na yule akaamua na yule si kila mtu atakuwa wa post ya 100,000
Hii ni gemu
Na sio kuleta wivu
Huko maishani mnaishije, duh jisikitikieni kabisaaaaaaaaaaaa
Bali kama ni mods iweje leo ndio waondoe comments na sio siku za test eeeeh... na namini hakuna anayepost kibaya humu kwa uzoefu wangu cha kuondolewa.
Ni hayo tu
Sasa watadataMakapuku wana 200k ndani ya mwaka mmoja na miez 3, kweli huu uzi kiboko
Hizi thanks hazina ladha kama ile lugha tamu ya Kigagagigikoko (qxhgyrthgwfehnqqwxghyytscznm)Thanks
Unamfollow vp?Umemfollow?
Haya bhanaaHa ha haaaa kilicho opolewa..chungu kuna umoto eeeeh
endelea kuwepooo toa likes upate likesNami nipo jamani!!
Ati nini?Sijawaona hao watu kwenye mbio za 100K
Ushafika home? Uko OK?Bora nikae hapa maaana......