Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa kitu kimoja

Mshindi wa 100k ni sammyluv

Mtu unawezaje kudelete comments ili upate ushindi wa kuwa namba 100,000 baada

Sema tu sikuchukua screenshot, as nilikuwa namba ...2 na nilimuona namba ...1 na namba 100000. Ambaye ni sammyluv

Sasa haya ya kuleta upupwu baada kwa kweli jione kama haufai kuwemo humu, kufikiri watu hawana akili. Mii nikiamha kufuta zangu na yule akaamua na yule si kila mtu atakuwa wa post ya 100,000

Hii ni gemu

Na sio kuleta wivu

Huko maishani mnaishije, duh jisikitikieni kabisaaaaaaaaaaaa

Bali kama ni mods iweje leo ndio waondoe comments na sio siku za test eeeeh... na namini hakuna anayepost kibaya humu kwa uzoefu wangu cha kuondolewa.

Ni hayo tu
 
Watakucharaza ban bageshi. Hawapendi watu kuweka external links zinazowatoa watu katika forum yao. Remember - the more you stay, the more adverts money they get. Be careful kwani ban na uzi huu ulivyo mtamu dah. Na ukija kurudi unakuta Kichwa Kichafu kapanga msururu wa Totoz!
hahahahahaaaa nikipigwa ban siku moja tu nikirudi utakuwa na like 40000
 
Sasa kitu kimoja

Mshindi wa 100k ni sammyluv

Mtu unawezaje kudelete comments ili upate ushindi wa kuwa namba 100,000 baada

Sema tu sikuchukua screenshot, as nilikuwa namba ...2 na nilimuona namba ...1 na namba 100000. Ambaye ni sammyluv

Sasa haya ya kuleta upupwu baada kwa kweli jione kama haufai kuwemo humu, kufikiri watu hawana akili. Mii nikiamha kufuta zangu na yule akaamua na yule si kila mtu atakuwa wa post ya 100,000

Hii ni gemu

Na sio kuleta wivu

Huko maishani mnaishije, duh jisikitikieni kabisaaaaaaaaaaaa

Bali kama ni mods iweje leo ndio waondoe comments na sio siku za test eeeeh... na namini hakuna anayepost kibaya humu kwa uzoefu wangu cha kuondolewa.

Ni hayo tu
Aisee! Wabongo sisi noma. Ufisadi mpaka kwenye likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. I didn't know that this is serious. Uniq njoo ujibu tuhuma!
 
jumong20.jpg
 
Back
Top Bottom