Basi kama hujaelewasijajua unachomaanisha
Mbona povu?ukweli utabaki pale pale kinachofanyika hapa ni utoto haiwezekanifanye ujinga na uzi uendelee kuwepo mods plz muhimu toa hii kitu haina maana yeyote kwa sasa
TooGood evening
Achana na hayo mamboUtamu wa uzi usha potea kwangu. Mtu anawazaje hivyo. Ameshinda marangapi na hatujasema kitu.
Yap150k kwanza
Duh! Jamani! Inasikitisha kwa kweliSasa kitu kimoja
Mshindi wa 100k ni sammyluv
Mtu unawezaje kudelete comments ili upate ushindi wa kuwa namba 100,000 baada
Sema tu sikuchukua screenshot, as nilikuwa namba ...2 na nilimuona namba ...1 na namba 100000. Ambaye ni sammyluv
Sasa haya ya kuleta upupwu baada kwa kweli jione kama haufai kuwemo humu, kufikiri watu hawana akili. Mii nikiamha kufuta zangu na yule akaamua na yule si kila mtu atakuwa wa post ya 100,000
Hii ni gemu
Na sio kuleta wivu
Huko maishani mnaishije, duh jisikitikieni kabisaaaaaaaaaaaa
Bali kama ni mods iweje leo ndio waondoe comments na sio siku za test eeeeh... na namini hakuna anayepost kibaya humu kwa uzoefu wangu cha kuondolewa.
Ni hayo tu
Hujanikosea kitu na nipo happy sana na uwe amani.Hapa hakuna hata mmoja anayemfahamu mwenzie hasira za nini kwani hiyo 100k ni cash?Tusafishe nyoyo vifua vyetu visibebe ghadhabu nisamehe kama mie ndo ntakua chanzo
Trust me, it's more than likesIt is all about likes
Hatari sanaDuh! 100 k ndani ya mwez?
Usikasirike bwana...ukiondoka kina hoch minh watafanya sherehe.........[emoji12] [emoji12]Utamu wa uzi usha potea kwangu. Mtu anawazaje hivyo. Ameshinda marangapi na hatujasema kitu.
Now i can seeTrust me, it's more than likes
Yup yupNow i can see
Mkuu sikupati carbamazepine umemwacha