Sasa kitu kimoja
Mshindi wa 100k ni
sammyluv
Mtu unawezaje kudelete comments ili upate ushindi wa kuwa namba 100,000 baada
Sema tu sikuchukua screenshot, as nilikuwa namba ...2 na nilimuona namba ...1 na namba 100000. Ambaye ni sammyluv
Sasa haya ya kuleta upupwu baada kwa kweli jione kama haufai kuwemo humu, kufikiri watu hawana akili. Mii nikiamha kufuta zangu na yule akaamua na yule si kila mtu atakuwa wa post ya 100,000
Hii ni gemu
Na sio kuleta wivu
Huko maishani mnaishije, duh jisikitikieni kabisaaaaaaaaaaaa
Bali kama ni mods iweje leo ndio waondoe comments na sio siku za test eeeeh... na namini hakuna anayepost kibaya humu kwa uzoefu wangu cha kuondolewa.
Ni hayo tu