Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huo ndiyo umaarufu bhana.
Siyo kusaka umarufu kwa kukaa kaa uchi mitandaoni
 
Wife alinitishia kuondoka kwenda kwao wakati mtiti wenyewe kaanzisha yeye, nikampa na nauli, hee!! Mbona alibaki tu home akaendelea na kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…