Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
The Game - Just Another Day
Kuna wakati inabidi Ndoto yako kuu Maishani uizike, ili ndoto mpya na nyingine izaliwe
Imenivamia tu hiyo mood[emoji144]Kwa nini una mood ya fujo?
#Kamekukorofisha?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]#hamnaKuchapiana[emoji3]
Imajini ndo umepewa unalimeng'enyua sasa...Hata kifo hukikumbuki dadeki [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Akikugusa tu sis nitonye....[emoji7][emoji7] that's my Brother
Snake charmer...
View attachment 1183022
#MoodnzurikwakutengenezeamapachaImenivamia tu hiyo mood[emoji144]
#hapana_anaanzaje[emoji23]
Kuna picha za kipumbavu zinaboa humu
Hahaha, basi tusiwatishe[emoji1][emoji1][emoji1]Ilikatazwa eti inawakatisha tamaa waoaji na kuwaudhi walokwishaoa...[emoji16][emoji16][emoji16]
Ijumaa inaisha vizuri, uchovu kiasi tuu.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mzee wa Code, Za ijumaa.?
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]#hamnaKuchapiana[emoji3]
Pole Binti Mpole I wish watu wote wawe wapole kama mimi na wewe lakini ndiyo haiwezekani
Hujambo??lakini Ester
Inapendeza SanaIjumaa inaisha vizuri, uchovu kiasi tuu.
#unaziwezaFujoLakini