Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3238.JPG
IMG_3237.JPG


HABARI HIZI NI MBAYA KWA WACHAMBUZI POPOTE WALIPO

WANAOUJUA MPIRA WAMEZIPOKEA KWA UZURI KABISA
 
Hahahahahaha, [emoji1][emoji1][emoji1]duuu.
Huku kwetu na vyakula vyetu vya pwani sidhani kama kuna mvulana anayeweza kumsahaulisha msichana kitu chochote
Zamani huko Koromije ilikuwa lazima umsahaulishe/akupe kitu mf. shanga, kipande cha kanga au kitambaa cha kichwani...Siku akija "kukikomboa" unamsahaulisha vitu vingine tena...msahaulishano ulikuwa hauishi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mwanamke huvutiwa na mwanaume anaejiamini. Ni siri ambayo hawataweza kukwambia lakin ndio ukweli.
Hata akikuxingua . Ww mwache.. baada ya muda atakuja mwenyewe .. na kinachomrudisha ni kwamba anakuona una msimamo. Kwamba hutingishiki
Wanawake huvutiwa zaidi na wanaume mwenye maumbo makubwa, kiuno flani chembamba, mabega yenye nguvu na kifua kipana.
 
Back
Top Bottom