Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mvulana huyo na marafiki zake walikuwa wanafanya mazungumzo wakati polisi walipovamia jengo walimokuwemo
"Baba yake alihisi vibaya sana wakati ilipogundulika kuwa alikuwa ni mtoto wake. Mtoto wake alikuwa hajamuomba pesa ya sherehe ," Bwana Tyopev alisema.
 
Ingawa mpango ulikuwa ni wa mtoto wake, utekelezaji wa mpango huo uliokuwa wa kitaalamu ulifanywa na marafiki zake waliokuwa na umri wa miaka kati ya 18 na 22 - jambo lililowafanya maafisa kuwashuku.
Polisi kwa sasa wanachunguza ikiwa vijana hao walishawahi kuwatekeji nyara w watu wengine kwa lengo la kudai kikombozi awali , anasema Tyopev.
 
Utekeji nyara unaolenga kudai kikombozi umekithiri ni nchini Nigeria . Magenge ya watekaji nyara huwateka tajiri na maskini kote nchini humo , na mara kwa mara watekani wamekuwa wakikusanya hadi dola 150,000 -na wakati mwingine huwauwa wanaotekwa ambao familia zao zinashindwa kulipa kikombozi.
 
1f11d08629b938e8559f6b228a65db50--tree-woman-tree-sculpture.jpg
 
Back
Top Bottom