Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee,,,,Hard Disk ya GB 1 ilikuwa ikiuzwa kwa Dollar za Marekani $40,000 sawa na Tsh Milioni 92
Hapo mwaka 1980, kampuni ya IBM ilifanikiwa kutengeneza Hard Disk iliyokuwa na uwezo wa GB 1 na inasemekana ilikuwa na ukubwa wa size ya kinanda na ilikuwa ikiuzwa kwa dollar 40,000 ambayo kwa sasa ni zaidi ya Milioni 92 za kitanzania.
Daah! Wewe acha tu Bro...Shwari bro, naona Eid imekuficha kidogo.
Natumai ulisherehekea vizuri.
Principle of Denial of Service(DoS).Website ya Kwanza Kabisa Duniani ni info.cern.ch
Tovuti ya kwanza kabisa duniani ilichapishwa tarehe 6 mwezi wa nane mwaka 1991 na mwingereza aliyekuwa anae julikana kama Tim Berners Lee. Tovuti hiyo ilichapishwa ikiwa na lengo la kujulisha ulimwengu kuhusu project mpya ya World Wide Web, tovuti hiyo iliachapishwa kwa kutumia kompyuta ya NEXT katika Shirika la Ulaya la Utafiti wa Nyuklia, CERN.
Kawaida bro,Daah! Wewe acha tu Bro...
Kila kitu kipo sawa huko, naimani huko pia mambo yamepoa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 bro unanifurahisha......Kawaida bro,
Nilitegemea ningesherehekea nikiwa Burigi ila siunajua tena mambo yalivyoenda ....
😁😁😁 Screenshot muhimuKawaida bro,
Nilitegemea ningesherehekea nikiwa Burigi ila siunajua tena mambo yalivyoenda ....
Sawasawa...Google ina miliki kikoa hichi “466453.com” sababu ndio hizi
Google ina miliki vikoa (domain) kadhaa ambazo zimekosewa lakini zina maana ya Google, kwa mfano google inamiliki vikoa vilivyokosewa vya Gooogle.com, Gogle.com, Googlr.com zote zikiwa kwa matamshi zina maana ya neno Google. Kuhusu kikoa cha 466453.com google ina miliki kikoa hichi kutokana na namba hizo kwenye keyboard ya simu yako ya tochi zina maana ya neno “Google”.