Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mara nyingi tunanunua vitu na bidhaa mbalimbali bila kuzifahamu au kuzichunguza vyema. Hili limepelekea watu wengi kununua bidhaa zisizofaa kwao au zenye madhara kwenye afya zao.
Hakikisha kila kilichotakiwa kuwepo kipo