cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Kunani cocochanel
Mkuu Immortal. Naona umekuja kivingine. Anyway, kamata likes...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] me simo mkuu,nilikuwa nakupa hi tuMtu gani huyo? Wewe si ndiyo umeanza na baiskeli yako? Nilikuwa tu nakuunga mkono. Ukitaniwa jitanie. Karibu Koromije mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wewe mzee we,hapo safi ya nini? Amelala huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Safi sana
Ngoja uonwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] me simo mkuu,nilikuwa nakupa hi tu
Mkuu huu uzi unanifanya nisahau shida zanguMkuu Immortal. Naona umekuja kivingine. Anyway, kamata likes...
Nsamaka njoo. Mumeo kaanza tena ule ugonjwa wake. Hajapona!Nataka niwe na wewe, nataka tuishi pamoja,nataka tulale pamoja,nataka tuzae watoto....lalalala la lala....
Amelala asiamshweee[emoji39] [emoji39] [emoji39]Bageshiiiiii...mashikolomageni...Lalaga chiza!