capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Mambo poa kabisa, Za Weekend..?Mambo mkatalunya?
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Aisee [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Wapigwe hao Burnley kama walivyopigwa Lipuli/Yanga iliyochangamka jana [emoji16][emoji16][emoji16]Arsenal vs Burnley
Aliamua kujitoa muhanga. Yeye na mkewe wakatandikwa risasi mchana kweupe na kuacha watoto wachanga.Aisee
Happy Sabbath bro ...
Ahsante sana Bro.. Nakutakia weekend njema!Happy Sabbath bro ...
Una mpango wa kuendelea na huo Ukatalunya? Majamaa hayo yamekuingiza ndiko siko. Timu kama Lipuli tu au Yanga iliyochangamka. Yatose hayo majamaa na Ukatalunya wa menyewe [emoji16][emoji16][emoji16]Mambo poa kabisa, Za Weekend..?
Asante bro...Ahsante sana Bro.. Nakutakia weekend njema!