Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weka nyaraka muhimu mahali pamoja

Watu wengi hupoteza nyaraka zao muhimu kwa sababu hawaziweki mahali pamoja peke yake; wengi huzichanganya na vitu vingine visivyo na thamani.
 
Hahahahaha wahuni hawajali hilo hata wakipiga kamoja tu mtaa mzima utajua. Yule mrembo wa Smart911 nimemgonga leo jamaa yule anajidai sana na mrembo wake 🏃🏿🏃🏿🏃🏿
😜😜😜

Unadhani hawamchombezi mahondaw wangu... they do sana... but she know she belongs to Smart911 na wengine ni story tuu...


Cc: mahondaw
 
Rudisha nyaraka mahali pake mara umalizapo kuzitumia

Kutokurudisha nyaraka mahali pake kumewasababishia watu wengi kupoteza nyaraka zao. Watu huchukua nyaraka mara zinapohitajika lakini husahau kuzirejesha kwa wakati na mahali sahihi walipozichukua.
 
Kuna waliooana humu lakini hawakutaka watu wajue wamekutana humu, sijui kwanini watu wanahofia kusema wamekutana humu wakapendana hadi kuoana.

Kule India biashara ya kutafuta wachumba mitandaoni ni kubwa sana in $$$millions na nchi nyingine nyingi hasa za magharibi lakini kwetu bado watu wanaona noma kusema wamekutana mtandaoni.

 
Tumia hazina za kwenye mtandao

Teknolojia imerahisisha na kuboresha maisha. Hakuna haja ya kubeba vyeti au nyaraka muhimu kila mahali. Unaweza kuscan na kuweka nyaraka zako kwenye hazina za data za kwenye mtandao na ukazipata popote pale mara unapozihitaji.
 
Tumia taasisi za kuhifadhi nyaraka

Kuna taasisi na kampuni mbalimbali ambazo hutoa huduma za kuhifadhi nyaraka muhimu. Taasisi hasa zile za kifedha, yaani benki, nyingi hutoa huduma ya kuhifadhi nyaraka muhimu kwa gharama nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…