Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nimefika Namagondo kwa Rosa Mistika. Sikuona maua. Jadi ya kubebana na mikokoteni ya maua, magauni ya bluu, viatu vya mchuchumio pamoja na mvinyo mwekundu Wakerewe wameianza lini?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]