BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mie kwenye mambo yangu ni msiri sana aisee. Sipendi kabisa kuwashirikisha watu kwenye mambo yangu hata kiduchu, yawe mazuri au mabaya lakini kusema ukweli namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa miaka mingi sasa maisha yananiendea vizuri sana huwa namshukuru muumba wetu kila leo.
Mie kwa kweli najitahidi kuwa muangalifu sana maana mengine unayasikia ya watu kusakwa kisa wanaikosoa Serikali yanakuacha mdomo wazi. Ni mambo ambayo huwezi kuyadhania kabisa.
Mie kwa kweli najitahidi kuwa muangalifu sana maana mengine unayasikia ya watu kusakwa kisa wanaikosoa Serikali yanakuacha mdomo wazi. Ni mambo ambayo huwezi kuyadhania kabisa.
Yeah!
Wabongo hakuna kuaminiana aisee. Katika ishu zote Mbongo mwogope sana...Atakuumiza mchana kweupe huku anakuchekea. Baada ya kujifunza hii siri mambo yangu yote muhimu ni kimya kimya tu na mengi yanafanikiwa kuliko zamani nilipokuwa nashirikisha washikaji.
Hata nyie wanaharakati kuamini watu na kujiexpose hata kama ni mademu aisee yaweza kuwa fatal mistake hasa kipindi hiki. Kuweni careful [emoji2221][emoji2221][emoji2221]