BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Ndio wamemtosa. Kapewa ulaji mwandishi wa mwanaspoti?? Manara sio msemaji tena??
Kama simba kwa kumtupa manara nje ya usemaji. Yule mbaba alizidi kuiporomosha club kwa maneno maneno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji233][emoji243][emoji233][emoji230][emoji243][emoji233][emoji243][emoji233][emoji230][emoji230][emoji243][emoji233]Ariririrriiiiii..... Ariririiriiriiiiiii[emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji443]
Na ndoa ifungwee... Na ndoa ifungwee [emoji443][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji443]
(sijui hata stori imeanzia wapi?! Nimeikutia njiani, nikaona ni jambo la heri kuinjoika pamoja) View attachment 1183941
[emoji233][emoji243][emoji233][emoji230][emoji243][emoji233][emoji243][emoji233][emoji230][emoji230][emoji243][emoji233]Ariririrriiiiii..... Ariririiriiriiiiiii[emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji443]
Na ndoa ifungwee... Na ndoa ifungwee [emoji443][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji443]
(sijui hata stori imeanzia wapi?! Nimeikutia njiani, nikaona ni jambo la heri kuinjoika pamoja) View attachment 1183941
Ndio VE [emoji41][emoji41]Raha jipe mwenyewe. Coco beach
Aisee,Nipo Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu nilikuwa lupango Mkuu. Kule siasani nimeweka bandiko langu halina tusi hata moja mccm kalichukia na kunirusha na matusi nami sikufanya hiana nikajibu mapigo kisha kakimbilia kwa MOD kwenda kulialia na MOD bila kuchunguza nani alianza kutumia lugha chafu akaamua BAK afungiwe na jamaa kubaki huru.
Ignore list yangu ambayo nadhani ni kubwa kuliko yoyote yule hapa JF itaanza kustawi tena kwa speed kubwa sana.
Vipi weye hali yako Mkuu?
Hii ilinipita, ahsante kwa taarifa sis.Ndio wamemtosa. Kapewa ulaji mwandishi wa mwanaspoti
Aisee,
Pole sana.Huku kwema sema jana Catalugna Bilbao walichomoa betri.Man city nayo imedroo sema ndio maisha....
Aisee,
Pole sana.Huku kwema sema jana Catalugna Bilbao walichomoa betri.Man city nayo imedroo sema ndio maisha....
Mie nilikuwa sijui kama Baba yake ni Sunday Manara, bora wamemuondoa.