Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20190817_205855.jpeg
 
 
Sisi nadhani ni maneno mengi na kutakiana mabaya. Watu wanaoana kimya kimya. Mimi mwenyewe kuna mtu humu asipozingua nimepanga kubeba jumla...ila ni kimya kimya kama ulivyosema. Ukitangaza tu umekwisha [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji233][emoji243][emoji233][emoji230][emoji243][emoji233][emoji243][emoji233][emoji230][emoji230][emoji243][emoji233]Ariririrriiiiii..... Ariririiriiriiiiiii[emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji443]
Na ndoa ifungwee... Na ndoa ifungwee [emoji443][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji443]

(sijui hata stori imeanzia wapi?! Nimeikutia njiani, nikaona ni jambo la heri kuinjoika pamoja)
tapatalk_1532539691247.gif
 
Sisi nadhani ni maneno mengi na kutakiana mabaya. Watu wanaoana kimya kimya. Mimi mwenyewe kuna mtu humu asipozingua nimepanga kubeba jumla...ila ni kimya kimya kama ulivyosema. Ukitangaza tu umekwisha [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro,

Kumbe zile wish za wanalike kufungana pingu ulikua unavutia kwako😀😀😀😀🤣🤣🤣😂😂😂
 
Nipo Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu nilikuwa lupango Mkuu. Kule siasani nimeweka bandiko langu halina tusi hata moja mccm kalichukia na kunirusha na matusi nami sikufanya hiana nikajibu mapigo kisha kakimbilia kwa MOD kwenda kulialia na MOD bila kuchunguza nani alianza kutumia lugha chafu akaamua BAK afungiwe na jamaa kubaki huru.

Ignore list yangu ambayo nadhani ni kubwa kuliko yoyote yule hapa JF itaanza kustawi tena kwa speed kubwa sana.

Vipi weye hali yako Mkuu?

Salama mkuu?
Kitambo sijakuona....
 
Back
Top Bottom