Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

indexbb.jpg
 
Umenikumbusha siku moja office mate kaomba nimsindikize kariakoo basi tukatia mguu kule. Kurudi ofisini mdada mmoja ananiuliza BAK ulikuwa kariakoo? Mie umejuaje? Naona una vumbi hadi kwenye nyusi 😂😂😂😂😂😂 sikujibu kitu ila niliona noma sana vumbi hadi kwenye nyusi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna sehemu zinaacha ushahidi mbaya
 
aguero got substituted, guardiola shouted at him man city scored the winning goal, guardiola hugged aguero VAR canceled the winning goal for man city, what do you think will happen between guardiola and aguero
 
Duh! Nimeshangaa Mkuu 207. Miaka ya nyuma kulikuwa na ustaarabu mkubwa hapa matusi hayakuwepo kabisa. Aliyeiharibu JF ni yule Mwigulu Nchemba baada ya kuwapa vitendea ujinga buku 7 na kuwamwaga humu. Kwa kujua hawana nguvu ya hoja akawaambia kutukana pia ni RUKHSA. Mwanzoni uongozi wa JF ulifanya kazi nzuri sana kwa kula nao sahani moja baadaye wakaanza kuzembea sijui kama idadi kubwa ya wanachama ilichangia kuzembea huko.

ignore list yako imeshafikisha wazembe 100?
 
Duh! Nimeshangaa Mkuu 207. Miaka ya nyuma kulikuwa na ustaarabu mkubwa hapa matusi hayakuwepo kabisa. Aliyeiharibu JF ni yule Mwigulu Nchemba baada ya kuwapa vitendea ujinga buku 7 na kuwamwaga humu. Kwa kujua hawana nguvu ya hoja akawaambia kutukana pia ni RUKHSA. Mwanzoni uongozi wa JF ulifanya kazi nzuri sana kwa kula nao sahani moja baadaye wakaanza kuzembea sijui kama idadi kubwa ya wanachama ilichangia kuzembea huko.
2020 watakuja tena na nguvu kubwa zaidi,si ajabu mtu mmoja kumiliki id 5
 
Back
Top Bottom