Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190817-WA0014.jpeg
 
[emoji233][emoji243][emoji233][emoji230][emoji243][emoji233][emoji243][emoji233][emoji230][emoji230][emoji243][emoji233]Ariririrriiiiii..... Ariririiriiriiiiiii[emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji443]
Na ndoa ifungwee... Na ndoa ifungwee [emoji443][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji443]

(sijui hata stori imeanzia wapi?! Nimeikutia njiani, nikaona ni jambo la heri kuinjoika pamoja) View attachment 1183941
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka mkubwa anadai anamafile yako.

Natumai siku imeenda vizuri pande hizo.

Kaka mkubwa si umemuona huko anajipigia upatu, anatembelea vidole vya miguu humu siku hizi, kama paka aisee au wale wapiga chabo profesheno! Chezea Kaka Mkubwa wewe! [emoji16][emoji16][emoji16]... Pande hii safi kabisa pamoja na VAR kutuwangia! [emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Poti bana....

Usiwe na wasiwasi na kaka mkubwa. Hana madhara huyo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom