Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mpare Mpare tu bro. Kuna mwenzako humu tulimpa dada yetu akaoa. Kutoa mahari mpaka leo holaa tukimwendea anataka eti atupe bata. Kibaya zaidi keshamzalisha dadetu watoto wawili na kampiga marufuku kabisa kuwasiliana nasi. Tukiuliza tunaambiwa eti dada yuko bize na ufugaji wa kuku. Wapare sitakaa niwaamini tena.hahahahahah
Futa kauli yako bro.Mimi sina sifa za wapare unaowajua wewe.
Kama ni lazima uwe kwenye kamati basi mapambo na mapokezi zitakufaa. Au kamati ya usafiri japo napo mhhh...[emoji16][emoji16]