Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Husambaza picha za ngono

Picha nyingi za ngono husambaa kwa kasi kubwa kupitia mtandao wa intaneti. Hatari zaidi ni kuwa picha hizi zinaweza kupatikana bure tena kwa urahisi kwa kila mtu.
 
Kupoteza muda

Moja kati ya vitu vinavyopoteza muda mwingi ni mtandao wa intaneti. Watu hutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii au kutazama video au picha mbalimbali; muda huu ungeweza kutumiwa kwenye mambo mengine yenye tija zaidi.
 
Hurahisisha udanganyifu wa kitaaluma

Mtandao wa intaneti umekuwa ni chanzo kikubwa cha udanganyifu wa kitaaluma. Wanafunzi hununua na kupakua mitihani, insha au hata maandiko mengine ya kitaaluma kutoka kwenye mtandao ili wafaulu vyema masomo yao.
 
Tokea nianze kujiunga na mitandao ya kijamii.... Sijawahi kupata like nyingi.. Naishia 5 sometime 9.

Sa sijui naandikaga pumba.. Ila mbona hata pumba zina likes

Nahisi ni la mentali tu.
Ila kwa kuwa huu ni uzi wa kupeana likes..
Ngoja nitest nione..
Pengine inaweza ikawa moja ya historia ya kukumbukwa hapo baadae.
 
Hahahahaha
Tusubirie tuu, tutavuka daraja tukilikuta.

#uhaziniNauwezaPia
 
Ni chanzo cha kusambaa kwa virusi vya kompyuta

Virusi vya kopyuta husambaa kwa urahisi sana kupitia mtandao wa intaneti.

Mfano mzuri ni kirusi cha Code Red kilichoibuka mwaka 2001 na kusambaa kwa kasi sana kwa muda usiozidi wiki moja na kuweza kuathiri seva 400,000 na kompyuta milioni moja kote duniani.
 
Huongeza matumizi ya pesa

Ili uweze kutumia intaneti utatakiwa kuwa na kifaa kama vile simu au kopyuta pamoja na huduma ya mawasiliano ya intaneti — yaani data.

Hivi vyote kwa jumla vinahitaji pesa ili uweze kuvipata. Hivyo kutumia mtandao wa intaneti sana kutakuongezea gharama ya matumizi.
 
Pamoja na mtandao wa intaneti kuwa na manufaa mbalimbali, naamini sasa umeona kuwa zipo athari au madhara mbalimbali yatokanayo na mtandao wa intaneti ambayo hayapaswi kupuuzwa.

Ni muhimu kutawala matumizi yako pamoja na kuzingatia kanuni za usalama kwenye mtandao ili usiathirike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…