Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Huyu pia behaviour yake mbali na uchezaji wake umemfanya apendwe sana na washabiki wa Liverpool. Ni mtu simple sana hana makuu hata kidogo. Wazungu washabiki wa Liverpool wanamuita Egyptian King.

Kinachoripotiwa ni kwamba wakali hao wa Anfield wamepanga kumpa Mo Salah mshahara wa Pauni 430,000 kwa wiki ili aendelee kubaki kwenye kikosi chao kwa muda mrefu.
 
So sad
 
Kinachoripotiwa ni kwamba wakali hao wa Anfield wamepanga kumpa Mo Salah mshahara wa Pauni 430,000 kwa wiki ili aendelee kubaki kwenye kikosi chao kwa muda mrefu.
paundi laki nne na nusu kwa wiki moja?
iyo pesa inatosha kuwanunua mamba wote waliowekwa mnadani na bwana magwangwala halafu kwa jeuri ukishawanunua unawapeleka ikulu ya magogoni kwa mamba mkuu.
 
*JOKE OF THE DAY!*

*_Stress free_*

A man returns a book to the library, banged it on the counter and yelled, “I read this entire novel; there are too many names of people and no story at all!”

The Librarian looks up and responds, “Idiot! So you were the one who took the Attendance book?"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…