Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b653708ec50f72c0248ce1ce6cd7cd0b.jpeg
 
Kifo....basi tu yaani hakuna ujanja..

RIP Carol
kuna nesi fulani alikuwa anawasimulia hadithi watoto wadogo waliolazwa kwenye hospitali fulani iliopo nchini fulani basi akafika sehemu akawauliza kwa nini kifo kimeumbwa?

dogo no 1: kifo kimeumbwa ili kimchukue mdogo wangu
dogo no 2: kifo kimeumbwa ili kimchukue mama yangu
dogo no 3: kifo kimeumbwa ili kimchukue rafiki yangu
nesi : kifo kimeumbwa ili kuikamilisha furaha yetu ya maisha ya hapa duniani
watoto wote : waliamua kuhama hospitali kwa kuhofia kuendelea kudanganywa
 
Tunapoongelea suala hili au neno mafanikio, kila mtu huwa ana maana yake kulingana na maana yake anayokuwa nayo kwa wakati wake na kwa eneo lake husika analohitaji mafanikio hayo yatokee katika maisha pia kulingana na ndoto yake aliyonayo. Nikiwa na maana kuwa kila mtu ana tafsiri yake kuhusu mafanikio kutokana na muda na wakati alionao na anaoendelea kuuishi hapa duniani. Kwani kuna Mafanikio mengi kutokana na mtu mwenyewe binafsi kwa muda wake husika anaohitaji mafanikio hayo na kwa njia hiyo ndio maana huleta tafsiri halisi ya yeye kuelewa kile anachotaka kufanikiwa kwa wakati huo aliokuwa nao.
 
Kuna mafanikio ya kiafya, kuna mafanikio ya kiuchumi na kifedha na kuna mafanikio ya uhusiano mzuri nakadhalika Yote hayo na mengine mengi ni sehemu mojawapo ya maeneo ambayo kila mtu anahitaji kufanikiwa kutokana na kipindi na muda husika alionao duniani.
 
Zipo siri nyingi ninazoweza kukupa na zikakusaidia kufanikiwa katika eneo hili la uchumi na fedha, lakini nitazungumzia juu ya siri saba muhimu ambazo ndio ngunzo kuu ya kukusaidia kufikia mafanikio makubwa ya kiuchumi na kifedha, na hata katika maeneo mengine ya maisha yako kama vile afya, mahusiano nakadhalika hutumika.
 
Tunapoongelea suala hili au neno mafanikio, kila mtu huwa ana maana yake kulingana na maana yake anayokuwa nayo kwa wakati wake na kwa eneo lake husika analohitaji mafanikio hayo yatokee katika maisha pia kulingana na ndoto yake aliyonayo. Nikiwa na maana kuwa kila mtu ana tafsiri yake kuhusu mafanikio kutokana na muda na wakati alionao na anaoendelea kuuishi hapa duniani. Kwani kuna Mafanikio mengi kutokana na mtu mwenyewe binafsi kwa muda wake husika anaohitaji mafanikio hayo na kwa njia hiyo ndio maana huleta tafsiri halisi ya yeye kuelewa kile anachotaka kufanikiwa kwa wakati huo aliokuwa nao.
rafiki fanya uandike kitabu.
binafsi nitakuunga mkono kwa kukukopa kitabu kimoja
 
Mpendwa Unazungumzia hii mistari ya shingoni ama comment yako nimeelewa vibaya kwako umemaanisha makunyazi.kwa uelewa wangu hiyo mistari sio makunyazi ni maumbile yake yapo hivyo.
dah basi nilifikiri iyo mistari ya shingoni inasababishwa zaidi na umri wa muhusika ndio maana kwa kuiangalia mistari ya shingoni nikamkadiria umri wake ni miaka 43.

1566134987633.png
 
Siri ya Kwanza:
Tembea katika Imani sahihi na Ibada.
Katika jambo lililo la muhimu na kipekee ambalo mtu yoyote anayehitaji kufanikiwa katika maisha yake anapaswa kulifanya ni kuishi maisha ya imani na kuwa mtumwa wa ibada iliyo sahihi. Fahamu katika mambo yote saba nitakayozungumzia hapa suala la imani na ibada ni la muhimu sana na ni vyema niseme linafaa kuwa la lazima kufanywa kila mara na mtu anayehitaji mafanikio makubwa maishani mwake.
 
Weekend ijayo tuna kazi kubwa ya kuhakikisha ushindi mwingine dhidi ya Mabingwa wa Ulaya Liverpool. Inawezekana kabisa but we need to play a PERFECT GAME for the whole 90 minutes which is impossible.

duh! aibu

Arsenal have won their first two games of a Premier League season for the first time since 2009-10. Awaited.
 
Back
Top Bottom