Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui ni kwanini nimefungua huo uzi?.
BTW ujunbe mzuri, bahati ni vile walipata nafasi ya kusali pamoja kabla kuachana
Naomba rehema na neema kama hiyo pia kwangu siku moja.

[emoji120][emoji120]
Hakika.
Hasa kama utaagana na umpendaye,baba,mama,mke,mme,watoto au rafiki wa karibu...
Naogopa, naacha kujadili, nina watoto wadogo sana, ni rafiki zangu wa karibu, najua nitaachana nao siku ikifika,ila nianze mimi.
Hebu tuyaache [emoji120][emoji120]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa umri wake atawapata akiamua kuwekeza kwenye uzazi... Yaani akiachana na ile kauli ya "mai miliki izi sitendi"
mkuu inakuwaje jamii ya wanawake kutoka china, japan, korea hata kama itatokezea wamezaa watoto watano mfululizo kama mimba ya paka lakini bado unakuta matiti yao yamebaki vile vile kama wasichana?

wanatumia dawa gani ambazo mpaka muda sisi waigaji tumeshindwa kuzifahamu?
 
Sijui ni kwanini nimefungua huo uzi?.
BTW ujunbe mzuri, bahati ni vile walipata nafasi ya kusali pamoja kabla kuachana
Naomba rehema na neema kama hiyo pia kwangu siku moja.

[emoji120][emoji120]
Unaogopa kifo bro?

Carol kaondoka kwa amani sana. Tena amepata nafasi ya kutubu madhambi yake na kuagana na mama yake kwa namna ya pekee.

Nenda mahospitalini huko ukajionee vifo vya mateso na maumivu ya kutisha kwa wagonjwa wa saratani. Inatisha mno bro na tukipata bahati ya kuondoka kwa amani kama Carol na kwenda kwa Muumba wetu itakuwa neema sana na upendeleo wa kipekee.

(Ila nimeshangaa kidogo. Kwa nini hawakumpeleka hospitalini mpaka siku alipozidiwa? Au alikuwa na ugonjwa terminal na walikuwa wanasubirisha muda tu?)
 
Ukisoma vitabu mbali mbali vya fedha kama vile Total Money Makeover, The secret of millionaire mind, Rich Dad Poor Dad, The Richest Man in Babyloan, nakadhalika,
Utajifunza mengi zaidi na kuona msisitizo waliojaribu kuuweka juu ya kumsaidia mtu kufanikiwa kifedha.
 
Hakika.
Hasa kama utaagana na umpendaye,baba,mama,mke,mme,watoto au rafiki wa karibu...
Naogopa, naacha kujadili, nina watoto wadogo sana, ni rafiki zangu wa karibu, najua nitaachana nao siku ikifika,ila nianze mimi.
Hebu tuyaache [emoji120][emoji120]
Hakuna cha kuogopa wala nini. Tuanze kuwa kama wazungu. Tuchague mahali pa kuzikwa. Tuandae kila kitu. Tuandike wosia na kuwaaga wanetu mmoja mmoja kwa upekee wao. Tugawanye mali zetu tukiwa bado hai...na kama unavyosemaga, tujitahidi kuwa binadamu wema na kujikabidhi kwa Muumba wetu. Siku ikifika tunaondoka kwa amani kabisa bila woga.
 
Back
Top Bottom