capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Aisee umeweka na picha kabisa 😃😃😃mimi ninayo mistari kama hiyo inawezekana lakini ila na mwanangu pia anayo shingoni.dah basi nilifikiri iyo mistari ya shingoni inasababishwa zaidi na umri wa muhusika ndio maana kwa kuiangalia mistari ya shingoni nikamkadiria umri wake ni miaka 43.
View attachment 1184559
usiwe na khofu kubwa sana wale majogoo nguvu zao za kiume zimeshaanza kupungua na inaonekana wakienda chooni wanakaa muda mrefu.Weekend ijayo tuna kazi kubwa ya kuhakikisha ushindi mwingine dhidi ya Mabingwa wa Ulaya Liverpool. Inawezekana kabisa but we need to play a PERFECT GAME for the whole 90 minutes which is impossible.
usiwe na khofu kubwa sana wale majogoo nguvu zao za kiume zimeshaanza kupungua na inaonekana wakienda chooni wanakaa muda mrefu.
dani ceballos anatosha kuwaadhibu, mechi ngumu zaidi itakuwa dhidi ya tottenham hotspurs wiki mbili zijazo
wacha nianze kufanya uchunguzi wa shingo za watu pengine upo sahihi.Aisee umeweka na picha kabisa 😃😃😃mimi ninayo mistari kama hiyo inawezekana lakini ila na mwanangu pia anayo shingoni.
Sijui ni kwanini nimefungua huo uzi?.Aisee!!!
Amerudi aliko toka,je,kazi yake aliimaliza hapa duniani?
Hatuijui saa ya kufa kwetu... Tuwe tayari kwa kutenda yaliyo mema