Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nadhani maumbile ya miili yao na vyakula,wengi wa mama zetu kipindi cha kunyonyesha miili yao hupungua sana labda kwa kazi nyingi bila kuzingatia ratiba ya kula au kwa ukosefu wa chakula bora huku ratiba ya unyonyeshaji zikiendelea kama kawaida.mkuu inakuwaje jamii ya wanawake kutoka china, japan, korea hata kama itatokezea wamezaa watoto watano mfululizo kama mimba ya paka lakini bado unakuta matiti yao yamebaki vile vile kama wasichana?
wanatumia dawa gani ambazo mpaka muda sisi waigaji tumeshindwa kuzifahamu?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nadhani maumbile ya miili yao na vyakula,wengi wa mama zetu kipindi cha kunyonyesha miili yao hupungua sana labda kwa kazi nyingi bila kuzingatia ratiba ya kula au kwa ukosefu wa chakula bora huku ratiba ya unyonyeshaji zikiendelea kama kawaida.
Mama zetu wa kipato cha chini wanapitia maisha magumu sana ya malezi. View attachment 1184598
Hahahaha TAAnipo fiti kama alexander arnold
Aisee utagombana na wakatalunyahuyu ndiye mbuzi wa ukweli na si mbuzi messi.
Zlatan Ibrahimovic has been directly involved in 50 goals (40g +10a) for LA Galaxy after only 47 games, scoring or assisting every 79 minutes.
Hahahahaklopp kumbe ana maneno ya ovyo kuliko wavuvi wa kipemba.
Klopp: "Adrian must have thought 'I played well like Alisson, so I need to make the same mistake he did'"