Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwisho wa siku Yule aliyempa biblia ile alikuja kumuonesha kwamba katikati ya biblia alimuzawadia zawadi ya cheki pia. Kwa kuwa Yule rafiki yangu hakuwa na kawaida kujisomea kitabu. Hivyo alikosa zawadi ya cheki yenye thamani kubwa ya fedaha nyingi. Kisa hiki kinatuonesha ni jinsi gani watu tulivo kuwa hatupendi kujifunza mambo mbalimbali kwa njia ya kusoma.
 
Mtu anaweza Kujifunza kwa kutazama vitu au shughuli na jinsi gani watu wengine wanafanya.
Kuna wakati mwingine unahitaji muda wa ziada, kila siku uweze kujifunza vitu hivyo. Kama kweli unahitaji mafanikio weka ratiba kila siku ya kujifunza vitu vipya vitakavyokufanya uongeze thamani kwa kile unachotaraji kiweze kutimiza malengo yako.
 
Jambo la pili jiulize maswali kwa kila jambo.
Kwa msaka maendeleo na mafanikio kuwa na tabia hii ya kujiuliza maswali ni kawaida. Kama wewe huna utaratibu huu wa kujiuliza maswali inawezekana kwa asilimia kubwa ikawa ndo sababu ya kubaki hapo ulipo. Ila kama kama unataka kufanikiwa ni lazima ujilize maswali.
 
Kama wewe ni mfanyabiashara, mkulima, mwanafunzi, fundi au kazi yeyote ile jitahidi kuwa na uratibu wa kujiuliza maswali mfano. Nifanye nini ili niweze kufanikawa kwa kuongeza wateja, je nifanye nini ili kufaulu katika masomo yangu na maswali mengine mengi kama hayo.
 
Kuna msanii mmoja hapa nchini aliwahi kuimba ya kwamba utaratibu wake ni kuuliza why, hivyo hata wewe jijengee utaribu huo utaona ni kwa jinsi gani utavyofanikiwa. Niliyoyasema hapo juu yote ni uongo kama utashindwa kuchukua hatua, yatakuwa ukweli endapo utaamua kuyaweka katika matendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…