Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1566147560988.jpeg
 
Watu wengi tunaingia kufanya mambo ya kimafanikio kwa njia za kawaida sana. Kitu hicho ambacho kinatufanya kila siku tubaki mahali pamoja kila siku na kushindwa kusonga mbele kimafanikio. Lakini katika makala haya nitakuibia siri mbili ambazo ukizifuata zitakufanya uweze kufanikiwa.

From benson chonya
 
Zifuatavyo ni njia mbili zenye kukuletea mafanikio;
Jambo la kwanza Jifunze vipya kila siku.
Kwa asilimia kubwa watu wengi hatupendi kujifunza vitu vipya hasa kwa staili ya kusoma vitabu, magezeti, majarida na vitu vingine ambavyo vitatufanya vituongezee maarifa na ujuzi. Ngoja nikupe stori mmoja ambayo iliwahi kumpata rafiki yangu wa karibu. Rafiki ambaye nilisoma kipindi cha nyuma.
 
Mnamo miaka kadhaa baada ya kumaliza masoma alipata ajira, baada ya hapo aliweza kupata jiko yaani (mke) ambaye walipendana sana,
Siku moja katika harusi yake alizawadia zawadi ya kitabu cha Mungu (Biblia) na rafiki yake wa karibu ambayo ndani biblia hiyo ilikuwa na cheki yenye thamani ya fedha nyingi.
 
Back
Top Bottom