andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Unaisoma halafu unapiga picha maeneo/mitaa yote iliyoelezewa jinsi ilivvyokiwa enzi hizo, halafu unapiga picha ya ilivyo sasa hivi, burudani mwanana! [emoji16]
Unaisoma halafu unapiga picha maeneo/mitaa yote iliyoelezewa jinsi ilivvyokiwa enzi hizo, halafu unapiga picha ya ilivyo sasa hivi, burudani mwanana! [emoji16]
Unaisoma halafu unapiga picha maeneo/mitaa yote iliyoelezewa jinsi ilivvyokiwa enzi hizo, halafu unapiga picha ya ilivyo sasa hivi, burudani mwanana! [emoji16]
Leo hiiUnaisoma halafu unapiga picha maeneo/mitaa yote iliyoelezewa jinsi ilivvyokiwa enzi hizo, halafu unapiga picha ya ilivyo sasa hivi, burudani mwanana! [emoji16]
Umeongea kwa uchungu sana mkuu. Jaribuni kuliongelea hili pole pole litabadilika. Ni jambo la muhimu sana !sisi waislamu baadhi ya wakati tuna vituko vya ajabu ajabu ndio maana ndugu zetu wa imani nyengine wanatudharau na kutuona tuna upungufu wa fikra.
unajengaje misikiti takribani 40 kwenye jiji moja huku huduma nyengine muhimu za kijamii ukizipotezea kana kwamba msikiti pekee ndio utatatua matatizo yote yanayomkabili mwanadamu kupitia maisha yake ya kila siku.
ukija huku kwetu zenji ujinga huu bado unaendelea kutapakaa, eneo lenye urefu wa mita 500 unaweza kukutana na misikiti 20 lakini huduma za afya sifuri.
Andaeitini wa kihenga henga huyo. Poti ni tatizo tena sugu. Ukiongeza na uenyekiti wake uchwara wa kile chama chake alichobakia peke yake na mizigo yake ya maua ndo kabisa hakuna kitu yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hahahaha
Mungu Awabariki hawa vijana wafikie hatua hii
Haya mambo ya kuruka na ungo ni kweli yapo haya au ni hadithi tu?
Hili swali kwetu tunaoruhusiwa kuwa nao mpaka wanne wala halitupi shida [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa nini wanawauza? Na nikimnunua kiboko naruhusiwa kumfanya nini? Au watanunuliwa na watu wa nje kama wale Waarabu waliokuwa wanasomba twiga wetu wakati ule?Kazi kwenuView attachment 1184693
Aisee afadhali hii imeisha. Mi nisingeweza. Nilikuwa nawaangalia mashemeji zangu akina Mwakaleli na wa kusoma wakihenya aisee ilikuwa shida. Hata salamu zenyewe zilikuwa maalum...Siku hizi mama mkwe kama huyu mamake na Sanchi mnaweza hata kukumba-tiana tu ikibidi [emoji16][emoji16]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]*TAFAKARI UJUMBE HUU KWA MAKINI*
Daktari aliingia hospitalini kwa haraka sana baada ya kuitwa kwa shughuli ya Upasuaji wa haraka, alipokea simu haraka, na kuvaa nguo za kazi na kuelekea moja kwa moja kwenye chumba cha upasuaji.
Wakati akielekea kwenye chumba cha upasuaji alimkuta Baba wa mtoto anazunguka huku na kule karibu na chumba hicho akimsubiria Daktari.
Baada ya kumuona daktari tu, Baba mtoto akapayuka: “ *Kwanini umechelewa kuja? Hufahamu kama maisha ya Mtoto wangu yapo hatarini? Hivi unayajua majukumu yako?* ”
Yule Daktari alitabasamu na kumwambia: “
*Samahani sana, Sikuwa Karibu na Hospitali na nimejitahidi kuja kwa haraka sana baada ya kupokea simu kutoka hapa hospitalini, na kwakuwa nimeshafika ningekuomba upunguze jazba na hasira ili nifanye shughuli yangu* ” Punguza hasira!
Hivi ingekuwaje kama Mwanao ndiye angekuwa chumba cha upasuaji sasa hivi, ungeweza kupunguza hasira? Kama mwanao ndiye angekuwa anakufa sasa hivi ungefanyaje?” Yule Baba aliongea kwa hasira sana.
Yule Daktari alitabasamu tena na kumjibu: “ *Daktari hawezi kurefusha maisha ya Binadamu. Nenda katulie na umuombee mwanao, mimi nitajitahidi kadri ya uwezo nilionao lakini mtumaini Mungu usimtumaini Maanadamu kama wewe*.
“ *Kutoa Ushauri kwa vitu visivyo wahusu ni rahisi sana* ” Alinong’ona yule Baba mwenye mtoto.
Upasuaji ulifanyika kwa masaa kadhaa mara tu baada ya kumalizika Daktari alitoka akiwa anafuraha, “
*Asante Mungu! Mtoto wako amepona!* ” Kama una swali lolote utamuuliza Nurse!!”
Bila kumsubiri Baba Mwenye mtoto kujibu chochote aliondoka kwa haraka kwenye eneo la upasuaji.
“ *Kwa nini ni mkorofi sana huyu Daktari? Yaani hawezi hata kusubiri kidogo nimuulize maendeleo ya mwanangu* ” Baba wa mtoto alimjadili akiwa na nurse baada ya Daktari kuondoka.
Nurse akamjibu, huku akitoa machozi:
“ *Mtoto wake alifariki jana kwenye ajali ya gari, alikuwa katika mazishi ya mtoto wake wakati tunampigia simu aje Hospitali kwa ajili ya upasuaji wa mtoto wako. Amefanikiwa kuyaokoa maisha ya mtoto wako, kwahiyo ameondoka kuwahi mazishi ya mtoto wake*.”
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
*Usimhukumu mtu yeyote maana huyafahamu maisha yake*
Pili, *tenda wema kadri Uwezavyo bila kujali hali Uliyonayo* .
Tatu,
*kwa Mawazo yako Unaweza kudhani kwamba wewe unamatatizo kuliko mtu yeyote kumbe wewe ndiye uliyependelewa na Mungu miongoni mwa watu wenye matatizo*
Mpe na Mwenzio kama unamjali.
*NDAMBACHIA*
anatafutwa mwenye uwezo wa kuongoza mnada wa mamba, mshahara laki moja kwa siku ila sharti uonyeshe wasifu wake kwa vitendoKazi kwenuView attachment 1184693
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]