Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana anko usijali. Yaani mie nachukulia poa tu kasoro zile picha za kamwene ndio ziliniboa hivyo kuwa huru

#achatuniseme
#sijawahionapichayahivyosonimeipenda
#duhzinarukagavilekumbe
Ankoo nimeomba msamaha kwa hiyo picha, na niliifuta post itakuwa network ilikuwa vibaya... Nisameheni bure kabisa [emoji120][emoji120][emoji120]
 

Hahaaa, Mwenyekiti mpaka nazama na Chama changu. Mimi ndie Mao Zedong![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Endapo umekwisha ingia katika mahusiano au unatarajia kuingia katika mahusiano ya kimapenzi, yapo mambo yanyofaa ambayo unaweza kumwambia mpenzi wako naye akafurahi, lakini yapo mambo ambayo kimsingi hupaswi kabisa kumwambia mpenzi wako. Kwani endapo utaamua kumwambia utatengeneza njia ambayo itawafanya mahusiono yenu yafe mara moja.
 
Maneno ambaya ambayo hutakiwi kusema kwa mwenza wako:

Nakuchukia
Chuki ni kitu kikubwa sana, kwa kweli huwezi kuishi na mtu ambaye unamchukia. Hutakiwi kumtamkia mwenza wako neno hili. Unaweza kuchukia tabia yake lakini si yeye mwenyewe. Njia nzuri ni kusema kuwa “Nachukia au sipendi tabia yako ya kuchelewa kurudi nyumbani” au maneno yanayofanana na hayo.
 
Maneno ya matusi
Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini neno hili linaleta majeraha kama likitoka kwa mwenza. Hasa kama linatoka wakati wa ugomvi au kutofautiana.

Usiseme maneno mabaya yanayomshusha mweza wako mfano kuhusu mwonekano mbaya wa mwenza wako kama “sura mbaya”,”Mnene kama nguruwe” na maneno mengine kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…