Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa mtandaoni hakuna siri hata kama chombo unachotumia ni cha siri.

Jana nilikuwa naangalia documentary moja kuhusu program moja inaitwa Pegasus iliyotengenezwa na kampuni moja la Israeli. Hii ina uwezo wa kudukua cho chote kuanzia simu, chats, email, sms...Japo inauzwa ghali sana lakini ndiyo inatumika sasa na mashirika mengi ya kijasusi na serikali. Ndiyo ilitumiwa na serikali ya Saudia kudukua mawasiliano ya Kasshogi japo alikuwa anawasiliana kwa siri kwa kutumia iPhone maalum katika mtandao aliodhani kuwa ulikuwa salama (encrypted).

Kwa ujumla tu ni kwamba hakuna siri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…